Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Yanga na Mbao Fc Pius Buswita amejiunga na Polisi Tanzania
Buswita aliyetambulishwa na Polisi Tanzania mwezi uliopita, amesajiliwa rasmi baada ya dirisha dogo kufunguliwa Disemba 16
Amejiunga na Polisi Tanzania akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake na Yanga kumalizika msimu uliopita
Ni miongoni mwa wachezaji ambao hawakuongezewa mikataba na Mcongomani, Mwinyi Zahera
Katika kipindi cha miezi sita iliyopita, Buswita hakuwa na timu
ADVERTISE HERE