Kikosi cha Yanga leo kimeendelea na mazoezi uwanja wa Chuo cha Polisi Kurasini jijini Dar es salaam kujiandaa na mchezo wa kombe la FA (ASFC) dhidi ya Iringa United
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumamosi kwenye uwanja wa Uhuru
Mabingwa hao wa kihistoria wameendelea kujifua chini ya kaimu kocha mkuu Charles Mkwasa

ADVERTISE HERE