Mara paap! Uchebe huyu hapa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Dec 2019
Mara paap! Uchebe huyu hapa

Wiki hii huenda ikawa ngumu kwa mashabiki wa Simba baada ya kuibuka kwa tetesi kuwa aliyekuwa kocha wao Mkuu Patrick Aussems 'Uchebe' anaweza kuibukia Jangwani

Ukweli ni kwamba wanafahamu uwezo wa Uchebe, na ikitokea ametua kwa mabingwa wa kihistoria, watakuwa na wakati mgumu sana watakapokutana na Yanga

Pamoja na kuwa suala hilo ni tetesi tu lakini lolote linaweza kutokea hasa baada ya GSM kuamua 'kumwaga fedha' kuisuka upya Yanga

Mpaka sasa GSM wamefanikisha usajili wa wachezaji wanne Haruna Niyonzima, Tariq Seif, Ditram Nchimbi na Adeyum Saleh

Lakini pia wamemrejesha beki Lamine Moro aliyekuwa amevunja mkataba wake kutokana na madai ya mishahara

Bado matajiri hao hawajafunga zoezi la usajili Yanga

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
43m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’