Klabu ya Yanga imeboresha muonekano wa kadi za uanachama.
Uongozi wa klabu hiyo umewataka wenye kadi ya zamani wafike na kadi zao kwenye tawi la benki ya posta lililo karibu ili zibadilishwe.
Aidha kwa wale wanaohitaji kadi za Uanachama wafike kwenye tawi la Yanga liliopo karibu ili waelekezwe utaratibu wa kuweza kupata kadi.
Ichangie klabu yako kwa kuwa mwanachama, nenda kachukue kadi.

ADVERTISE HERE