Polisi Tanzania imemsajli mshambuliaji wa zamani wa Yanga Matheo Anthony
Matheo anatua Polisi Tanzania akiwa mchezaji huru baada ya mkataba wake na Yanga kumalizika
Ni miongoni mwa wachezaji ambao aliyekuwa kocha wa Yanga Mwinyi Zahera aliwaacha kwenye usajili wa mwezi Julai
Anakuwa mchezaji wa tatu kujiunga na Polisi Tanzania akitokea klabu ya Yanga
Timu hiyo pia imewasajili Pius Buswita na Pato Ngonyani
ADVERTISE HERE