Nyota wapya ruksa kucheza kabla ya dirisha kufungwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Dec 2019
Nyota wapya ruksa kucheza kabla ya dirisha kufungwa

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) imebainisha kuwa wachezaji wanaosajiliwa dirisha dogo la usajili lililofunguliwa Disemba 16 wanaruhusiwa kuzitumikia timu zao mpya pale taratibu za usajili zinapokuwa zimekamilika

Mwenyekiti wa Kamati hiyo Elias Mwanjala amesema ni ruksa kwa klabu yoyote kuwatumia wachezaji wake iliyowasajili dirisha dogo kama itakua imekamilisha taratibu zote

Hii ni habari njema kwa Yanga ambayo sasa ina uhakika wa kuwatumia wachezaji wake wapya kwenye mchezo dhidi ya Simba utakaopigwa January 04 2020

Misimu ya nyuma utaratibu ulikuwa mchezaji akisajiliwa anasubiri hadi muda wa usajili umalizike na mapingamizi yapite

Hata hivyo uongozi wa Yanga una kazi ya kufuatilia mapema vibali vya nyota wake wa kigeni ili kuweza kuwatumia kwenye mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
10h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
15h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
19h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
20h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
20h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’