Beki Andrew Vicent Chikupe ni miongoni mwa wachezaji waliosafiri na kikosi cha Yanga kwenda mkoani Mbeya ambako wanakabiliwa na michezo miwili ya ligi kuu dhidi ya Mbeya City na Tanzania Prisons
Kesho Jumamosi Yanga itashuka katika uwanja wa Sokoine kuikabili Mbeya City katika moja ya michezo hiyo na mchezo mwingine utapigwa Ijumaa, Disemba 27
Msafara uliolekea mkoani Mbeya unajumuisha wachezaji 20 na viongozi wa benchi la ufundi
Kikosi kamili
1.Metacha Mnata
2. Ramadhan kabwili
3.Farouk Shikhalo
4.Adeyum Saleh
5.Paul Godfrey
6.Cleofas Sospeter
7.Muharami Issa
8.Jaffary Mohammed
9.Lamine Moro
10.Ally Mtoni
11.Vicent Andrew
12.Mustafa Seleman
13.Papy Tshishimbi
14.Juma Makapu
15. Raphael Daud
16.Mapinduzi Balama
17.Patrick Sibomana
18. David Molinga
19.Deus Kaseke
20.Adam Stanley