GSM yaweka mezani Milioni 10 mechi dhidi ya Mbeya City

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Dec 2019
GSM yaweka mezani Milioni 10 mechi dhidi ya Mbeya City

Uongozi wa klabu ya Yanga umesema kampuni ya GSM imeweka mezani kitita cha Tsh Milioni 10 kwa wachezaji wa Yanga wakipata ushindi dhidi ya Mbeya City leo

"Mdhamini wetu ambaye ni Msambazaji wa jezi zetu kupitia Brand Chapa GSM leo jumanne kuelekea mchezo wetu dhidi ya Mbeya City utakaopigwa saa kumi jioni ndani ya Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya ameweka mezani tena ahadi ya pesa taslimu shilingi milioni kumi {10,000,000} kwa ajili ya hamasa ya kupata pointi tatu muhimu"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’