Kikosi cha Yanga kimeondoka mkoani Tabora leo kwenda Shinyanga tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa saba dhidi ya Stand United.
Yanga iliweka kambi Tabora kujiandaa na mchezo huo unaotarajia kuwa na upinzani mkali kutoka kwa wenyeji.
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumapili, Oktoba 22 kwenye dimba la Kambarage.

ADVERTISE HERE