Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rayvany kutoka WCB, jana kwenye maadhimisho ya sikukuu ya Krismasi alifanya tamasha kubwa la muziki katika uwanja wa Sokoine
Hali ya uwanja huo imezidi kuwa 'mbaya' baada ya tamasha hilo
Kesho Yanga itashuka hapohapo Sokoine kumenyana na Tanzania Prisons
Mazingira ya mchezo huo ni dhahiri yatakuwa magumu zaidi pengine kuliko hata ilivyokuwa kwenye mchezo dhidi ya Mbeya Ciy juzi (picha kwa hisani ya SokaPlace)



ADVERTISE HERE