Mechi dhidi ya Tanzania Prisons yaahirishwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Dec 2019
Mechi dhidi ya Tanzania Prisons yaahirishwa

Baada ya majadiliano baina ya viongozi wa Tanzania Prisons, Yanga na TFF mchezo wa ligi kuu kati ya Prisons dhidi ya Yanga ambao ulikuwa upigwe kesho Ijumaa kwenye uwanja wa Sokoine, umeahirishwa

Taarifa iliyotolewa na uongozi wa Yanga imesema mchezo huo hautafanyika baada ya makubaliano kufikiwa kutokana na hali ya uwanja wa Sokoine

Aidha uwanja wa Ihefu ambao Bodi ya Ligi ilipendekeza mchezo huo uchezwe, nao umeonekani haufai kutokana na sababu za kiusalama

"Mchezo wetu dhidi ya Tanzania Prisons wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliokuwa uchezwe kesho, kutokana na Uwanja wa Sokione kuwa katika hali mbaya umeahirishwa."

"Timu zote zimefikia makubaliano hayo baada ya kupokea taarifa ya hali isiyoridhisha kiusalama kwenye Uwanja wa Ihefu ambao ulipendekezwa na Bodi ya Ligi kutumika kwa mchezo huo kesho kama Mbadala wa Uwanja wa Sokoine," imesema taarifa ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’