Uongozi wa klabu ya Yanga umesema kuwa timu hiyo itaingia kambini Julai 4, mwaka huu kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya kukamilisha zoezi la usajili.
Aidha, Yanga inategemea kutangaza wachezaji iliyowasajili kabla ya kuingia kambini.
"Suala la usajili linafanyiwa kazi na kamati husika, lakini timu itaingia kambini Julai 4 kujiandaa na msimu ujao wa Ligi Kuu pamoja na mashindano mengine," amesema Meneja wa timu, Hafidha Saleh

ADVERTISE HERE