Kamusoko apona majeraha, kuanza na Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Oct 2017
Kamusoko apona majeraha, kuanza na Simba
Nahodha msaidizi wa Yanga Thabani Kamusoko amepona majeraha yake na atakuwa tayari kurejea dimbani katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Simba.

Kamusoko alikuwa akisumbuliwa na majeraha ya kisigino na aliachwa kwenye kikosi cha Yanga kilichosafiri kanda ya ziwa ili aendelee na matibabu.

Daktari wa Yanga, Dk Edward Bavu amethibitisha kupona kwa mchezaji huyo lakini akabainisha kuwa atajiunga na kikosi cha Yanga kitakachoweka kambi kujiandaa na mchezo dhidi ya Simba.

Donald Ngoma na Amissi Tambwe ni wachezaji wengine wa Yanga waliokuwa majeruhi lakini imetaarifiwa kuwa hali zao zimeimarika
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
2h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
23h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’