Klabu ya Simba ambao ni wenyeji wa mchezo wa kwanza wa watani wa jadi ambao utapigwa Jumamosi, Januari 04 2020, wametaja viingilio vya mchezo huo
VIP A ni Tsh 30,000/-, VIP B na C ni Tsh 20,000/- wakati upande wa Mzunguuko ni Tsh 7,000/-
Mashabiki wameaswa kuchangamkia tiketi hizo ili kuwapa wachezaji sapoti ya kutosha siku ya mchezo
ADVERTISE HERE