Kiungo mpya wa Yanga Haruna Niyonzima anatarajiwa kuwasili nchini leo kujiunga na mabingwa hao wa kihistoria Tanzania
Niyonzima jana alikamilisha majukumu yake kunako klabu ya AS Kigali ambapo aliwaaga wachezaji pamoja na uongozi wa timu hiyo
Nahodha huyo wa Amavubi, tayari ameondoka Rwanda kuja nchini
ADVERTISE HERE