Kiungo Haruna Niyonzima amewasili leo na moja kwa moja kuelekea kambini kuendelea na maandalizi ya mchezo dhidi ya Simba
Inaelezwa Yanga imefanikiwa kupata vibali vyake hivyo upo uwezekano atashiriki mchezo wa Jumamosi kama kocha Charles Mkwasa atapenda kumtumia
Niyonzima ameonekana kuwa na furaha hasa baada ya kukutana na Kelvin Yondani, Mrisho Ngasa na Deus Kaseke ambao alicheza nao awali

ADVERTISE HERE