Niyonzima aongeza mzuka Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Jan 2020
Niyonzima aongeza mzuka Yanga

Ukweli ni kwamba ujio wa kiungo Haruna Niyonzima umeongeza mzuka wa kikosi cha Yanga kuelekea mchezo dhidi ya watani zao Simba hapo kesho

Niyonzima aliyesajiliwa na Yanga mwishoni mwa mwaka jana akitokea klabu ya AS Kigali, aliwasili mapema jana na moja kwa moja kuelekea kambini

Jioni alishiriki mazoezi na wachezaji wengine. Alionekana mwenye furaha na muhimu zaidi yuko 'fit'

Fundi huyo wa mpira alionesha kuzoeana na wachezaji wengine haraka pengine ni kwa sababu baadhi yao alicheza nao mwanzo

Niyonzima amesema yuko tayari kucheza kesho, hatma yake iko mikononi mwa kocha Charles Mkwasa

Lakini hakuna shaka kama atapewa nafasi, atakuwa na mchango mkubwa kwenye mchezo huo

Kwani anawafahamui vizuri Simba na hiyo itakuwa nafasi yake kurejesha imani ya baadhi ya mashabiki ambao walichukizwa na uamuzi wake wa kwenda kujiunga na Simba

Yanga leo itakamilisha maandalizi yake ya mwisho kwenye uwanja wa Taifa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
23m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’