Kiungo Haruna Niyonzima amewashukuru mashabiki kwa mapokezi waliyompa katika mchezo dhidi ya Simba jana
Niyonzima alicheza mechi yake ya kwanza akiwa na uzi wa Yanga kwa mara ya kwanza tangu arejee wiki hii
"Nimefurahi kurudi nyumbani na nawashukuru mashabiki kwa mapokezi mazuri"
"Tuendelee kumuomba Mwenye ez Mungu ili tuweze kufanikiwa malengo yetu. Tunawashukuru wadhamini wetu GSM kwa sapoti wanayotupa, " amesema Niyonzima
Niyomzima alikuwa na mchango mkubwa katika mchezo huo dhidi ya Simba ambao ulimalizika kwa sare ya mabao 2-2
ADVERTISE HERE