Kikosi cha Yanga leo kimefanya mazoezi ya mwisho kisiwani Unguja kabla ya kuikbali Jamhuri kwenye mchezo wa kombe la Mapinduzi
Mchezo huo utapigwa kesho Jumanne, Jan 07 katika uwanja wa Amaan
Yanga iko Unjguja tangu jana usiku

ADVERTISE HERE