Beki wa kushoto wa Yanga Mwarami Issa 'Marcelo' ataitumikia Singida United kwa mkataba wa miezi sita
Rais wa Singida United Mwigulu Nchemba amesema tayari makubaliano yamefikiwa kwa nyota huyo kutoka Visiwani Zanzibar kuelekea Singida
Mh Nchemba ndiye aliyefanikisha usajili wa Marcelo kujiunga na Yanga
Hata hivyo ameshindwa kuonyesha makali yake kwenye kikosi cha Yanga
ADVERTISE HERE