Mapinduzi Cup : Yanga kamili kuikabili Mtibwa Sugar leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jan 2020
Mapinduzi Cup : Yanga kamili kuikabili Mtibwa Sugar leo

Kikosi cha mabingwa wa kihistoria Tanzania Yanga leo kitashuka uwanja wa Amaan kuikabili Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa kwanza wa nusu fainali michuano ya kombe la Mapinduzi ambao utapigwa saa mbili na robo usiku

Yanga ilitinga nusu fainali baada ya kuilaza Jamhuri mabao 2-0 juzi

Jana jioni Yanga ilikamilisha maandalizi yake ya mwisho kuelekea mchezo huo

Wakati Yanga ikishuka dimbani leo, watani zao Simba watacheza na Azam Fc hapo kesho

Upo uwezekano Yanga na Simba zikakutana kwenye mchezo wa fainali kama zitashinda michezo yao ya nusu fainali

Lakini pia zinaweza kukutana kusaka mshindi wa tatu kama zote zitapoteza michezo yao ya nusu fainali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
40m ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
15h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
21h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’