Kocha Mpya Yanga kuelekea Zanzibar leoleo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jan 2020
Kocha Mpya Yanga kuelekea Zanzibar leoleo

Kocha Mpya wa Yanga Luc Eymael baada ya kutua leo, moja kwa moja ataelekea visiwani Zanzibar kuungana na timu

Leo saa mbili na robo usiku Yanga itashuka dimba la Amaan kuumana na Mtibwa Sugar katika mchezo wa nusu fainali kombe la Mapinduzi

Luc ataongozana na Mkurugenzi wa Uwekezaji GSM Mhandisi Hersi Said

Watawasili Uwanja wa Ndege wa Zanzibar saa nane na nusu mchana

Hii ndio Yanga....!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
6h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
18h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’