Mchezo dhidi ya Kagera Sugar kupigwa saa kumi Alasiri

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jan 2020
Mchezo dhidi ya Kagera Sugar kupigwa saa kumi Alasiri

Kumekuwa na mkanganyiko wa muda wa mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Kagera Sugar ambao utapigwa kesho Jumatano

Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema mchezo utapigwa saa kumi Alasiri kwenye uwanja wa Uhuru

Mchezo unaofuata dhidi ya Azam Fc ndio utapigwa uwanja wa Taifa siku ya Jumamosi, Januari 18 2020 muda ukitarajiwa kuwa saa moja jioni

Azam Fc itakuwa mwenyeji wa mchezo huo wa Jumamosi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’