Mkwasa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi Yanga, Eymael ataka kocha msaidizi mwingine

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Jan 2020
Mkwasa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi Yanga, Eymael ataka kocha msaidizi mwingine

Zilizovuja leo ni kuwa uongozi wa klabu ya Yanga huenda utamtangaza Kally Ongara kuwa kocha msaidizi baada ya Kocha Mkuu Luc Eymael kuomba atafutiwe kocha msaidizi mwingine badala ya Charles Mkwasa

Hata hivyo Mkwasa huenda atapandishwa Cheo kuwa Mkurugenzi wa Ufundi

Mkwasa aliiongoza Yanga kwa mafanikio kipindi chote alichokabidhiwa baada ya Mwinyi Zahera kutimuliwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’