Mashabiki wajitokeza kwa wingi mechi dhidi ya Kagera Sugar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jan 2020
Mashabiki wajitokeza kwa wingi mechi dhidi ya Kagera Sugar

Ukiachana na matokeo ya kufungwa mabao 3-0 na Kagera Sugar, mashabiki wa Yanga leo walihamasika kwa wingi na kujitokeza kuiunga mkono timu yao kwenye mchezo uliopigwa uwanja wa Uhuru

Ni jambo la kutia matumaini kuona mashabiki hasa wa jijini Dar es salaam wameanza kujitokeza kwa wingi katika mechi za kawaida ambazo hazihusishi Simba na Azam Fc

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
17h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
22h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’