Lothi apelekwa Singida United kwa mkopo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jan 2020
Lothi apelekwa Singida United kwa mkopo

Uongozi wa Singida United umethibitisha kumsajili kiungo Raphael Daudi Lothi kutoka klabu ya Yanga kwa mkopo wa miezi sita

Lothi anakuwa mchezaji wa tatu kutua Singida Unites kwa mkopo akitokea Yanga

Wengine ni walinzi Cleofas Sospeter na Muharami Issa 'Marcelo'

Hata hivyo Lothi hakuwemo kwenye orodha ya awali iliyotolewa na Yanga juzi baada ya dirisha la usajili kufungwa

Afisa Mhamasishaji Antonio Nugaz amesema leo watatoa orodha kamili ya wachezaji ambao wataitumikia Yanga na wale ambao wameachwa/kutolewa kwa mkopo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’