Nahodha wa Yanga Papy Tshishimbi alikosa mchezo dhidi ya Kagera Sugar baada ya kuchelewa kurejea kutoka DR Congo alikokwenda kushughulikia masuala binafsi
Tshishimbi alipewa ruhusu ya siku tano wakati Yanga ikielekea Zanzibar kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi
Hata hivyo Mcongomani huyo alichelewa kurejea na hivyo kukosa program zote za mazoezi za kocha Luc Eymael
Fundi huyo anaweza kukosa mchezo dhidi ya Azam Fc kesho pia
ADVERTISE HERE