Hongera Mbwana Ally Samatta

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jan 2020
Hongera Mbwana Ally Samatta

Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Mbwana Samatta ametambulishwa rasmi klabu ya Aston Villa inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza baada ya kukamilisha uhamisho wake kitoka KRC Genk

Samatta amesaini mkataba wa miaka minne na nusu

Anakuwa ni mchezaji wa kwanza Mtanzania kucheza ligi kuu ya Uingereza

Hii ni heshima kubwa kwake na Tanzania kwani mafanikio yake hapo yatalitangaza vyema jina la Tanzania na pengine kufungua milango kwa wachezaji wengine wa Kitanzania kupata nafasi

Hongera sana Samatta, Watanzania tunajivunia mafanikio yako, bila shaka utawahamasisha wengine kufuata nyayo zako

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’