Ile kanuni ya mavazi alitungiwa Zahera bhana..!

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jan 2020
Ile kanuni ya mavazi alitungiwa Zahera bhana..!

Wadau wana kila sababu ya kuilalamikia TFF kuwa imekuwa ikiendeshwa kishabiki zaidi

Mwanzoni mwa msimu kulitungwa kanuni ya udhibiti wa mavazi kwa makocha na viongozi wa benchi la ufundi kwa vilabu vya ligi kuu

Mtu pekee aliyeadhibiwa kwa kuvaa 'pensi' ni aliyekuwa kocha mkuu wa Yanga wakati huo Mwinyi Zahera

Lakini kanuni hiyo haikutumika kwa mwingine yeyote licha ya wengine kuendelea kutumia mavazi hayo

Juzi kocha wa Simba alitupia pensi na hakuna tamko lolote lililotolewa TFF wala bodi ya ligi

Jamani hata kama kusoma hatujui picha tunaona, ile kanuni mlimtungia Zahera FULL STOP

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’