Eymael ataka ushindi Singida

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jan 2020
Eymael ataka ushindi Singida

Kocha Mkuu wa Yanga Luc Aymael ni mtu asiyetaka masihara kwenye kazi yake

Unaambiwa kufungwa mechi mbili mfululizo ni matokeo yaliyomchukiza na amewataka wachezaji wake kuhakikisha wanapata ushindi mkoani Singida

Eymael amesema kama hatapata ushindi dhidi ya Singida United basi atafikiria kukaa chini ya waajiri wake kuzungumzia mustakabali wake

Mchezo dhidi ya Singida United utakuwa wa kwanza kwa kocha Eymael kuchezwa nje ya jiji la Dar es salaam

Ni mchezo ambao Yanga imedhamiria kuondoka na alama zote tatu

Jana Yanga iliunda Kamati ya Mashindano na kumteua Rodger Gumbo kuwa Mwenyekiti

Tayari Gumbo ameelekea mkoani Singida kuongeza nguvu kuelekea mchezo huo

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
18m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
12h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’