Tutarejea tukiwa imara - Shikhalo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jan 2020
Tutarejea tukiwa imara - Shikhalo

Mlinda lango wa Yanga Farouk Shikhalo amesema pamoja na kikosi chao kutokuwa na mwenendo mzuri, watarejea kwenye ubora wao tena wakiwa imara

Yanga imecheza mechi tatu mfululizo za ligi kuu bila ya kupata ushindi, ikilazimishwa sare ya mabao 2-2 na Simba kabla ya kupoteza michezo dhidi ya Kagera Sugar na Azam Fc

Mlinda lango huyo wa Kimataifa wa Kenya amesema wakati mwingine ni lazima kupitia nyakati ngumu ili kutengeneza njia ya mafanikio

"Tumeshushwa chini na tunapita kwenye wakati mgumu, lakini amini kila changamoto inakuwa na njia ya mafanikio, tutarejea tukiwa imara," ameandika Shikhalo kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram

Kesho Yanga itashuka kwenye uwanja wa Namfua mkoani Singida kuwakabili wenyeji wao Singida United katika mchezo ambao mabingwa hao wa kihistoria wanahitaji ushindi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
12h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
17h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’