Kikosi cha Yanga leo kimefanya mazoezi yake ya mwisho uwanja wa Namfua kuelekea mchezo wa ligi kuu ya Voadcom dhidi ya Singida United
Mchezo huo utapigwa kesho Jumatano, Januari 22 katika uwanja huo
Meneja wa Yanga Abeid Mziba amesema wachezaji wote wako katika hali nzuri tayari kuzipigania alama zote tatu za mchezo huo
ADVERTISE HERE