Yanga yasaka alama tatu muhimu Singida leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Jan 2020
Yanga yasaka alama tatu muhimu Singida leo

Kikosi cha Yanga kiko mkoani Singida ambapo jioni ya leo watashuka katika dimba la Namfua kuikabili Singida United ukiwa ni mchezo wa ligi kuu ya Vodacom

Yanga ilitua Singida juzi jioni, jana ikapata nafasi ya kufanya mazoezi kwenye uwanja wa Namfua ambao leo utatumika kwa mara ya kwanza baada ya kufanyiwa maboresho

Baada ya mfululizo wa kukosa ushindi katika michezo mitatu iliyopita, mchezo wa leo Yanga haihitaji matokeo mengine zaidi ya ushindi

Wachezaji, benchi la ufundi, viongozi na hata mashabiki leo watakuwa na siku mbaya sana kama mambo hayatabadilika

Mkufunzi wa mabingwa hao wa kihistoria Luc Eymael amesema wamerekebisha baadhi ya changamoto zilizojitokeza kwenye michezo iliyopita hivyo leo wana kila sababu ya kushinda

Eymal bado hajaonja radha ya ushindi tangu atue Yanga wiki mbili ziliyopita

Mchezo utapigwa saa kumi kamili jioni

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
16h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’