Vijana wameongeza kasi, umakini, yajayo yanafurahisha

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Jan 2020
Vijana wameongeza kasi, umakini, yajayo yanafurahisha

Kwa mara nyingine leo Yanga imeonyesha kuendelea kuimarika ikipata ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Singida United katika mchezo uliopigwa uwanja wa LITI Singida

Ilikuwa mara ya kwanza kwa Yanga kupata ushindi kwenye uwanja huo ambao zamani ulikuwa ukiitwa Namfua

Lakini jambo la kuvutia zaidi ni ubora ulioonyeshwa na kikosi cha Yanga kinachonolewa na kocha Luc Eymael

Kwa mchezo wa pili mfululizo Yanga inatawala, huku leo safu ya ushambuliaji ikionekana kuongeza umakini na kufanikiwa kufunga mabao matatu

Kiungo mshambuliaji Bernard Morrison ameongeza ubunifu kwenye safu ya ushambuliaji Yanga

Leo Yanga ilimiliki mpira wa asilimia 60, muda mwingi Singida United walikuwa wakiusaka mpira kwa tochi

Walivyocheza Yanga leo sio tofauti sana na mchezo waliocheza dhidi ya Azam Fc, wamekuwa bora katika umiliki wa mpira kwenye michezo yote miwili

Eymael ni kocha anayependa soka la kuvutia, pasi nyingi na kushambulia kwa kasi

Nadhani falsafa yake imeanza kufanya kazi, hakika kuna mambo ya kufurahisha yanakuja Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
19h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’