FT : Yanga 2-0 Prisons

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jan 2020
FT : Yanga 2-0 Prisons

Yanga imetakata leo uwanja wa Taifa ikiifumua timu ngumu ya Tanzania Prisons mabao 2-0 katika mchezo wa raundi ya nne michuano ya kombe la FA (ASFC)

Alikuwa ni Bernard Morrison aliyeiangamiza Prisons kwa kufunga bao moja na pia kutengeneza bao la pili lililofungwa na Yikpe Gnamien

Morrison alianza kuifungia Yanga bao mapema tu kwenye dakika ya 11 kwa mkwaju wa penati baada ya mlinzi wa Prisons kuunawa mpira ndani ya eneo la hatari

Bao la pili lilipatikana kwenye dakika ya 64 Gmanien akimalizia kwa kichwa pasi murua ya Morrison

Katika mchezo huo Morrison alifanya mambo adimu ambayo hayakuwahi kuonekana hapa nyumbani

Kikosi cha Eymael kilikuwa bora sana siku ya leo, Mbelgiji huyo ameanza kufanikiwa kuifanya Yanga icheze kama 'playstation'

Ushindi huo umeipeleka Yanga hatua ya 16 bora ya michuano hiyo ambapo sasa itacheza na Gwambina Fc katika mchezo unaofuata

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’