Mechi mbili, bao moja, assisti tatu, kuna swali?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jan 2020
Mechi mbili, bao moja, assisti tatu, kuna swali?

Bernard Morrison ni mchezaji mwenye kipaji cha hali ya juu, amedhihirisha hilo

Katika mechi mbili alizocheza, katoa pasi tatu za mabao na mwenyewe kufunga bao moja

Huyu ameletwa wakati muafaka Yanga. Kwani baada ya kipindi cha majonzi na huzuni, ujio wake unarejesha furaha Jangwani

Kwani kazi anapiga dimbani na bando la burudani anatoa la kutosha

Hongera GSM kwa kumleta mwamba huyu, lakini pia hongera kwa kocha Luc Eymael kupendekeza aletewe huyu mtu

Mwezi Juni Eymael ameahidi kuleta majembe mengine mawili kama Morrison

Ufalme wa Yanga unaanza kurejea mahali pake...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
20h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
23h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
1d ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
1d ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’