Uongozi wa klabu ya Yanga umeitisha Mkutano Mkuu wa dharura wa Wanachama ambao utafanyika Februari 16 2020 ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere
Ajenda kuu ya Mkutano huo ni mabadiliko ya Katiba, ikiwa ni hatua kuelekea mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu ya Yanga

ADVERTISE HERE