Yanga yamsaidia Mama Anna Majaliwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 Jan 2020
Yanga yamsaidia Mama Anna Majaliwa

Jana uongozi wa Yanga kupitia Afisa Muhamasishaji na Msemaji wa klabu hiyo Antonio Nugaz na Mkurugenzi wa Sheria na wanachama Ndugu Simon Patrick, waliwakilisha kamati ya utendaji na Secretarieti ya anga Kutoa mkono wa pole na Matumaini kwa Anna Majaliwa ambae alipata shida ya kiafya

"Shukran sana kwa mashabiki wanachama na wapenzi ambao pia mumetuma pesa kwa muhusika moja kwa moja"

"Shukran za dhati kwa GSM kwa kuendelea Kuwa nasi bega kwa bega na Shukran kwa Naibu Meya wa JIJI la Dar Es salaam ndugu Abdallah Mtinika"

"Hii ndio Maana halisi ya Timu ya Wananchi"

"Tukutane jumapili kwenye Mchezo wetu dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Taifa saa 10 kamili jioni," imesema taarifa ya Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’