Baada ya kusahauliwa kucheza wiki wiki hii, hatimaye Bodi ya Ligi imewapangia Yanga mechi zao ambazo wanapaswa kuzicheza mwezi februari 2020
Wataanza na Mtibwa Sugar keshokutwa Jumapili ambapo kwa mwezi wa pili watacheza mechi tisa, nane za ligi moja ya kombe la FA
Hii hapa ratiba kamil;
1) 02/02/2020 Yanga SC vs Mtibwa Sugar - National Ss;tadium 1600hr
2) 05/02/2020 Yanga SC vs Lipuli FC- National Stadium 1600 hrs;
3) 08/02/2020 Ruvu Shooting vs Yanga SC National Stadium 1900hrs;
4) 11/02/2020 Yanga SC vs Mbeya City- National Stadium 19:00hrs :
5) 15/02/2020 Yanga vs Tanzania Prisons National Stadium 1900hrs;
6) 18/02/2020 Police Tanzania vs Yanga SC- Ushirika Stadium, Kilimanjaro, 1600hrs;
7) 23/02/2020 Coastal Union vs Yanga Mkwakwani Stadium, Tanga 16:00hrs
8) 25 or 26/02/2020 Yanga SC vs Gwambina FC (FA), National Stadium
9) 29/02/2020 - Yanga SC vs Alliance FC, National Stadium, 1600hrs;