Yanga imejichimbia Morogoro

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Oct 2017
Yanga imejichimbia Morogoro
Jana jioni kikosi cha Yanga kilitinga mkoani Morogoro kuweka kambi kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Simba Jumamosi, Oktoba 28.

Maamuzi ya kuweka kambi Morogoro yalifikiwa baada ya kocha Mkuu George Lwandamina kupendekeza iwekwe kambi mkoani humo kwani alivutiwa na mandhari ya mkoa huo.

Yanga iliweka kambi Morogoro wakati wa maandalizi ya msimu mpya kabla haijatimkia Pemba.

Kikosi cha Yanga kimefanya mazoezi leo asubuhi na habari njema ni kwamba wachezaji Thabani Kamusoko, Donald Ngoma, Amissi Tambwe na Juma Mahadhi wameungana na wenzao na wako fiti kuitumikia Yanga.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
22m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’