Nahodha wa timu ya taifa (Taifa Stars) anayechezea Klabu ya Aston Villa ya Uingereza, Mbwana Samatta, ameomba Watanzania kuacha kutoa maneno ya kashfa kwenye akaunti za Aston Villa na za wachezaji wa timu hiyo.
Baadhi ya mashabiki toka Tanzania wamekuea wakifanya kitendo hicho ambacho amesema hakimfurahishi

ADVERTISE HERE