Morrison kama kawaida uwanja wa Taifa leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Feb 2020
Morrison kama kawaida uwanja wa Taifa leo

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Bernard Morrison leo atakiongoza kikosi cha timu hiyo kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Lipuli Fc

Mchezo huo utapigwa kuanzia saa moja jioni kwenye uwanja wa Taifa

Huo utakuwa mchezo wa nne kwa Morrison kuitumikia Yanga

Mpaka sasa Morrison ametoa pasi tatu za mabao na kufunga bao moja kwenye michuano yote

Mchezo uliopita dhidi ya Mtibwa Sugar, Morrison aliwekewa ulinzi maalum lakini madhara yakawakumba kupitia kwa David Molinga aliyefunga bao la ushindi akimalizia krosi murua ya Ditram Nchimni

Hakuna shaka, Morrison leo atakuwa sehemu ya wanaume 11 watakaoiwakilisha Yanga kwenye mchezo dhidi ya Lipuli ambao mabingwa hao wa kihistoria wanahitaji matokeo ya ushindi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’