Yanga inaanza duru ya pili kabla ya kumaliza ya kwanza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Feb 2020
Yanga inaanza duru ya pili kabla ya kumaliza ya kwanza

Hii ndio ligi ya Tanzania!. Kesho Jumamosi Yanga inaanza mzunguuko wa pili wa ligi kuu ya Vodacom kwa kuikabili Ruvu Shooting katika mchezo ambao utapigwa uwanja wa Uhuru

Hata hivyo Yanga inaanza duru ya pili huku ikiwa na mechi mbili za viporo

Yanga bado haijacheza na timu za Namungo Fc na Mwadui Fc, mechi hizo hazipangiwa tarehe ya kuchezwa

Msimu uliopita pia Yanga iliingia duru ya pili huku ikiwa na kiporo cha mchezo dhidi ya Azam Fc

Kuelekea mchezo dhidi ya Ruvu Shooting, uongozi wa Yanga umewataka mashabiki wake kujitokeza kwa wingi kuiunga mkono timu yao

Viingilio vya mchezo huo VIP ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
30m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
55m ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’