Simba yachapwa, Yanga ina nafasi ya kupunguza 'gape'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Feb 2020
Simba yachapwa, Yanga ina nafasi ya kupunguza 'gape'

Simba leo imechapwa bao 1-0 na JKT Tanzania katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa Uhuru

Mchezo huo uliochezeshwa vyema na waamuzi, umewashuhudia JKT Tanzania wakipata ushindi ambao walistahili

Kesho Jumamosi itakuwa zamu ya Yanga kushuka kwenye uwanja huo kumenyana na maafande wa Ruvu Shooting

Ni mchezo ambao kama Yanga itaibuka na ushindi, itapunguza tofauti ya pointi kati yake na Simba kutoka 16 na kuwa 13

Hata hivyo Yanga bado itakuwa na michezo miwili ya viporo

Hakika ligi bado mbichi, hakuna timu inaweza kujihakikishia ubingwa mapema, muhimu tu ni kwa waamuzi kuendelea kuchezesha kwa haki kwa timu zote

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’