Yanga kamili kuikabili Ruvu Shooting leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Feb 2020
Yanga kamili kuikabili Ruvu Shooting leo

Kikosi cha Yanga leo kinarejea dimbani kuwapa burudani mashabiki wake kwa kuikaribisha Ruvu Shooting katika mchezo ambao utapigwa uwanja wa Uhuru

Ni mchezo wa kwanza wa mzunguuko wa pili wa ligi kuu ya Vodacom

Mabingwa hao wa kihistoria wako kwenye kiwango kizuri wakishinda michezo yote minne iliyopita

Matokeo ya ushindi litakuwa lengo la kwanza kwa kikosi cha Luc Eymael ili kupunguza tofauti ya pointi kati yao na vinara wa ligi hiyo Simba ambao jana walichapwa bao 1-0 na JKT Tanzania

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema wamejiandaa vyema kuwapa furaha mashabiki, amewataka wajitokeze kwa wingi kuiunga mkono timu yao

Viingilio vya mchezo huo VIP ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
6h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
11h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
15h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’