Kituo kinachofuata ni Mbeya City

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Feb 2020
Kituo kinachofuata ni Mbeya City

Burudani itaendelea kesho uwanja wa Taifa wakati Yanga itakapokuwa mwenyeji wa Mbeya City ukiwa ni mwendelezo wa michezo ya ligi kuu

Mchezo huo utapigwa kuanzia saa moja usiku

Yanga imetangaza vingilio vya mchezo huo ambao VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- wakati upande wa mzunguuko ni Tsh 5,000/-

Baada ya kushinda michezo mitano mfululizo kwenye mashindano yote, gari la Yanga limewaka

Mashabiki wametakiwa kujitokeza wa wingi kuiunga mkono timu yao ikisaka ushindi muhimu dhidi ya Mbeya City

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’