Yanga kukata keki uwanja wa Taifa leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Feb 2020
Yanga kukata keki uwanja wa Taifa leo

Leo katika mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Mbeya City ambao utapigwa uwanja wa Taifa, kutafanyika tukio la aina yake ambapo mabingwa hao wa kihistoria watakuwa na maadhimisho ya miaka 85 tangu kuundwa kwa klabu yao

Ndio, ni miaka 85 sasa tangu timu ya Wananchi ilipozaliwa mwaka 1935, Mashabiki wametakiwa kujitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa katika mchezo huo utakaopigwa saa moja usiku kushuhudia burudani na maadhimisho hayo

Viingilio vya mchezo huo;

VIP A - 15,000/-
VIP B na C - 10,000/-
Mzunguuko - 5,000/-

Huu sio mchezo wa kukosa kwa shabiki kindakindaki wa Yanga

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’