Kampa-kampatena ya Yanga hainogi bila Tshishimbi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Feb 2020
Kampa-kampatena ya Yanga hainogi bila Tshishimbi

Hakuna mjadala, nahodha wa Yanga Papy Tshishimbi kwa sasa ni muhiri wa safu ya kiungo akicheza samamba na Mapinduzi Balama na Haruna Niyonzima

Kukosekana kwake kwenye kipindi cha kwanza mchezo dhidi ya Mbeya City, kulipelekea Yanga isiwe na ubora ambao imekuwa ikionyesha kwenye mechi za hivi karibuni

Kocha Mkuu wa timu hiyo Luc Eymael amekiri timu yake iliyumba kipindi cha kwanza kutokana na kukosekana kwa Mcongomani huyo

"Nilihitaji kuwapa mapumziko baadhi ya wachezaji hasa Tshishimbi na Niyonzima. Hata hivyo tumeona timu iliikosa muunganiko kukosekana kwa Tshishimbi," alisema

Kwenye mchezo wa jana Eymael alimtumia kiraka Said Juma Makapu nafasi ya kiungo mkabaji lakini alikosa kasi ya kuiunganisha timu

Makapu alicheza vizuri kwenye mechi ambazo alitumiwa kama mlinzi wa kati

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’