Kikosi cha Yanga kilichokuwa kimeweka kambi mkoani Morogoro kinatarajiwa kurejea leo jijini Dar es salaam.
Afisa habari wa Yanga Dismas Ten amesema Yanga inatarajiwa kuondoka mkoani Morogoro Ijumaa mchana baada ya kumaliza mazoezi ya asubuhi.
Ikiwasili jijini Dar es salaam Yanga itafikia kwenye hoteli moja maarufu na itakuwa huko mpaka kesho muda wa kuelekea uwanja wa Uhuru.
Yanga itakuwa mwenyeji wa mchezo huo utakaopigwa kwenye dimba la Uhuru na hakika matumaini ya ushindi ni makubwa.

ADVERTISE HERE