Vifaa vya kisasa vyatumika mazoezi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Feb 2020
Vifaa vya kisasa vyatumika mazoezi Yanga

Yanga ina kila sababu ya kufanya vizuri kwenye mechi zake baada ya GSM kuboresha mazingira ya wachezaji ikiwemo kuleta vitendea kazi vya kisasa

Siku za karibuni kwenye mazoezi ya Yanga baadhi ya wachezaji wanaonekana kuvaa vifaa maalum vya kupima ufanisi waomazoezini 'GPS vest'

Vifaa hivyo ambavyo kocha aliyepita Mwinyi Zahera aliwahi kuvitaka, gharama yake ni Tsh Milioni 24 kwa kifaa kimoja!

Vinasaidia kufuatilia mwenendo wa mchezaji mmoja mmoja mazoezini na hata kwenye mechi

GPS hizo zinahifadhi kumbukumbu muhimu kama umbali ambao mchezaji anakimbia, kupima mwendokasi n.k

Kutokana na gharama yake kuwa kubwa, ni timu chache barani Afrika ambazo huvitumia, vinatumika zaidi barani Ulaya na nchi zilizoendelea

Yanga inaweza kuwa klabu pekee ambayo inatumia vifaa hivyo hapa Tanzania

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
15h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’